HABARI NJEMA KWA WANAFUNZI NA WALIMU WA SEKONDARI

Habari! Mpendwa kupitia Blog yetu hii ya ONLINE EDUCATION CENTRE mwanafunzi au mwalimu atakua na uwezo wakujisomea na kufuatilia mtiririko wa masomo ya sekondari bila shida yoyote. Pia mwanafunzi atakuwa huru kuuliza maswali kwa kupitia comment au moja kwa moja kwa mwalimu kupitia mawasiliano yetu. Kutakuwa na Notes,Exercises,Past Papers,Test,Series za mitihani Pamoja na Ushauri wa kimasomo. Hivyo Mwanafunzi,Mzazi pamoja na Mwalimu mwakaribishwa kutembelea Blog Hii kila mara ili kujifunza zaidi. Mawasiliano;Call/WhatsApp;0718727256/0757382339. By;Silayo G(Mwalimu)

Comments